Tangazo muhimu kwako mfuatiliaji wa masomo ya ufugaji hapa
Kwanza nianze kuwashukuru nyote mnaoendelea kuniamini na kufuatilia mafunzo ya ufugaji na kilimo kwenye mitandao yangu ikiwemo blog, App na kwenye page zangu za mitandao ya kijamii. Nawaahidi sitawaangusha na nitaendelea kuwafundisha mbinu zote za kilimo na ufugaji bila kuwa na uchoyo wa kutoa ujuzi kwa jamii yangu.
Fuga kibiashara |
Ninatambua kuwa kilimo na ufugaji ndiyo kazi zilizobaki ambazo zinaweza kuwawezesha vijana wengi kujiajiri nchini mwetu. Jitihada zangu ni kuhakikisha vijana wengi waweze kujiajiri kwa kutumia fulsa ya ufugaji na kilimo. Kwakua wewe ni miongoni mwa watu wengi wanaonifuatilia basi nakuomba kukupa taarifa kuwa mafunzo yote sasa yanatolewa kwenye blog ya www.fugakibiashara.blogspot.com Nitaifunga blog ya ufugaji yakinifu na app ya ufugaji yakinifu mara tu wote mkidownload app mpya ambayo inapatikana kwenye link hii bonyeza hapa
Mafundi wanaendelea na kazi muda wowote itapatikana play store kama kawaida. asante kwa kuendelea kunifuatilia masomo yote nayotoa kwenye mitandao hii. Mshirikishe na rafiki mtumia jina la blog kwenye email pia unaweza kushare facebook whatsapp kwenye magroup mengi uwezavyo ili nawe uwe umetoa mchango kwa Taifa letu kwa kusambaza habari za kimaendeleo kwa vijana.
Post a Comment